Sale!

Rehema awanasa wezi lvl 4 (Queenex)

Original price was: KSh 352.35.Current price is: KSh 290.00.

Rehema awanasa wezi lvl 4 (Queenex)

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Ni siku chache zimesalia shule ya msingi ya Darajani ifungwe.?

Walimu na wafanyakazi wote wana mkutano wa mwisho wa mwaka.?

Rehema kiranja mkuu anagundua kuwa wageni wanaofika shuleni si wageni wazuri.?

Wameingia maktabani na wanaendelea kuiba vitabu. Je, Rehema atapata wapi ujasiri na maarifa ya kupambana na wezi??

Na je, atawaweza wezi hao ambao tayari wamepakia vitabu katika magunia? Hii ni hadithi isiyoweza kusomwa mara moja.?

Anza sasa hivi!

Yahya mutuu ni mwandishi wa vitabu vingi miongoni mwavyo: Siri ya Baba yangu kitabu cha kwanza. Mwisho wa Ujambazl,?

Sungura Hakimu na hadithi nyingine, Wema wa Sofi na Hadithi Nyingine na vingine vingi.

?

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.