Sale!

Adhabu ya Joka (Longhorn)

Original price was: KSh 473.64.Current price is: KSh 405.00.

Adhabu ya Joka

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Furaha ya kila mwanandoa huwa ni kupata mtoto ?Kibuka na Kalimuzo wanaishi kwa miaka kumi na miwili bila kujaaliwa kupata mtoto. Maadamu Mungu si Athumani, hatimaye wanajaaliwa kupata mtoto wa kiume wanayemwita Ziro. Je, mtoto huyu alikuwa chanzo cha furaha au huzuni kwa wazazi wake? Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ni methali yenye mashiko makuu katika maisha ya Ziro. Analelewa katika mazingira ya kuenpekezwa sana na wazazi wake kiasi cha kumfanya kuishia kuwa samaki ambaye hakukunjwa angali mbichi. Je, Ziro anabadilika hatimaye? Hii ni hadithi ya kuwaonya vijana dhidi ya uhalifu kama vile wizi kwani Ziro anapata adhabu ya joka anapoiba sanduku lililodhaniwa kuwa na pesa nyingi sana.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.