Description
Chongameno ni kijana mchungaji aliyejaaliwa haiba ya mwili na roho. Alice ni msichana aliyezaliwa katika mali na anasa. Lakini pendo halitambui tabaka, na Alice anampenda Chongameno. Juhudi za kulitoroka pendo hili zinaishia katika balaa kwa wote wawili. Hii ni hadithi iliyofumwa kitaalamu na mmoja wa waandishi walioheshimika sana katika Afrika ya Mashariki.
Reviews
There are no reviews yet.