Description
Nikki Kachuma na wenzake kutoka Shule ya Taredi wamo safarini kuitembelea Mbuga ya Wanyama ya Nairobi. Hawana habari kuwa kuna zaidi ya wanyama katika mbuga hii, na kuwa wengine wa binadamu wenye maficho yao hapa ni hatari kuliko wanyama wenyewe??
?
Reviews
There are no reviews yet.