Description
Ni vyema kupima neno kabla halijatoka kinywani. Usahauri wa Mama Nafula kuhusu chanzo cha baba yake Nafula kupigwa na radi unamkanganya. Ushauri huo unamwandama sana Nafula kiasi cha kutoroka shuleni mvua unaponyesha. Swali ni kuwa ni nini chanzo cha mtu kupigwa na radi? Je, mtoto anaweza kuchukua hatua ambayo Nafula alichukua ili kuyaokoa malazi yake? Soma upate uhondo wa simulizi huu.
Reviews
There are no reviews yet.