Sale!

Ahaa! Roda lvl 7 (Queenex)

Original price was: KSh 378.63.Current price is: KSh 320.00.

Ahaa! Roda lvl 7 (Queenex)

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Roda ni msichana mdogo ambaye ana ndoto ya kufanikiwa maishani ? ndoto ya kuwa jaji. Maisha katika kijiji cha Tupe si rahisi hata kidogo. Kwanza anatoweka asijulikane alipo. Pili mama yake anauawa kinyama na watu wasiojulikana. Baada ya mazishi ya mama yake, mjomba wake Bwana Kilemba anamchukua ili kumtunza. Mke wake Bibi Mnuna yuaonekana kutopendezwa na hatua hiyo. Anageuka kuwa katili kwake Roda. Je, Roda ataweza kuitimiza ndoto yake mikononi mwa Mnuna? Usisubiri kuambiwa uisome hadithi hii.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.