Description
Queenex hadithi za ziada
ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.
Kitabu hiki, ni cha wanafunzi wa
Gredi ya Sita
na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuka. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki nic + Viungo vya Mwili vya Ndani + Mahusiano Misimu
Reviews
There are no reviews yet.