Description
Licha ya kuzaliwa na kulelewa katika familia maskini, Kezo anaonyesha uaminifu katika zoezi analopewa na mfalme. Ni kutokana na uaminifu huu ndipo inapobainikiwa kuwa kumbe binadamu anaweza kuwa maskini wa pesa ila akajaaliwa utajiri wa moyo, adabu na uaminifu. Je, ni vipi uaminifu wa Kezo unakuwa bahati kwake na tunu kwa wazazi wake?
Reviews
There are no reviews yet.