Sale!

Barua ya Mwisho na Hadithi Nyingine (Storymoja)

Original price was: KSh 724.00.Current price is: KSh 600.00.

Barua ya Mwisho na Hadithi Nyingine (Storymoja)

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Barua ya Mwisho na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zilizoandikwa na waandishi wenye uzoefu mpana wa kuandika kazi za fasihi. Hadithi zilizomo zinaangazia masuala yanayochora taswira kamili ya tajriba ya mwanadamu wa kisasa katika mazingira anuwai.

Matukio yamesukwa kwa njia inayoakisi uhalisia wa maisha ya kila siku ya wanajamii na huchangia kukemea maovu na kukuza matendo ya kiuadilifu katika jamii kupitia maudhui tofauti tofauti kama vile elimu, siasa, teknolojia na madhara yake, ufisadi, ulanguzi wa dawa za kulevya, matatizo ya kiuchumi, mimba na ndoa za mapema, miongoni mwa mengine.

Kunao pia uanuwai na ufaafu wa matumizi ya vipengele mbalimbali vya fani kama vile muundo, mtindo, lugha na wahusika katika mkusanyiko huu. Huu ni mchango mkubwa katika fasihi ya Kiswahili kwenye Karne ya Ishirini na Moja.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.