Description
Maria ni mwanafunzi mwenye bidii masomoni. Akiwa pamoja na rafiki yake Musa, wanawasaidia wanafunzi wenzao kusoma darasani. Mwalimu wao pamoja na wanafunzi wanawashangilia. Je, Maria na Musa wanawafundisha wenzao somo lipi?
Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.
Reviews
There are no reviews yet.