Description
Bintu na Bintuntu ni hadithi inayozungumzia jinsi wanakijuwa?
Bintunke walivyosumbuliwa na majitu yaliyoishi kwenye msitu wa Bintudamu?
uliokuwa karibu na kiji hicho, Bwana Bintu anafunga safari hadi kijijini Bantu?
kupata ushauri wa kuyaangamiza majitu hayo. Anapata siri kuu kuwa majitu hupenda uji moto.?
Baada ya kuelezwa, mke wake Bintuntu anatumia ushauri huo na kuyaua majitu yote!?
Familia ya Bintuna Bintuntu inaleta ushindi mkubwa kisini Bintunke. Baada ya hapo usalama usafiri,?
elimu, utalii miongoni mwa mambo meng ya kimaisha yanaimarika.
?
Reviews
There are no reviews yet.