Sale!

Bustani ya Edeni (Longhorn)

Original price was: KSh 524.56.Current price is: KSh 418.00.

Bustani ya Edeni

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Bustani ya Edeni ni riwaya tamu inayorejelea mazingira yajana, leo na kesho yaliyoghasiwa na binadamu kwa tamaa / na uchu wa kuumba huku nguvu zake zikiumbua. Usafi unajikunja na uchafu unajikunjua; maji hayanyweki, hewa haivutiki, chakula hakiliki ? yote haya kwa pupa ya maendeleo.Kisha?Franco?; ngozi kuchubuka, vichwa kuwanga, miti kukauka na serikali jicho kafumba. Jitihada za Jonalisti zinapigwa vita moto mmoja.Pasta yona wa yona anajitoa mhanga kwa damu na uhai kuokoa hali hii, tayari propaganda imekolea magazetini, redioni, vikaoni kanisani, propaganda ya kuufumba umma macho? kweli mam bo yametumbukia nyongo.Hii ni riwaya yenye kusuta na kuvuta fikira na kila mmoja ataisaka.Profesa Emmanuel Mbogo ni mhadhiri wa fasihi mwenye mkono mpevu katika uandishi.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.