Description
Juma na dadake Pili ni kiini cha huzuni kwa wazazi wao. Hawataki kufanya kazi ama kufuata maagizo. Juma lake ni kuchukuana na rafiki yake Yohana kwenda kuwinda na kuzurura siku kutwa. Pili naye uzembe na uchafu ni mazoea yake. Kipi kitawabadilisha wawe watu wa bidii?
Reviews
There are no reviews yet.