Description
Chapolishni unachochanganua kwa kina na maana mbinu borata uandishi wa insha kwa?
wanafundi wa shule ya msingi kimeangalia changamoto mbalimbali zinazowakumba wanafunzi?
katika uandishi wa insha na kutoa suluhisho la kukabiliana na kila changamoto Chapolincheni?
kitabu ambacho Nimewasilisha mifano mbalimbali ya inshasenye mvuto wa kipekee?
unaochangiwa na ustadi wa hali ya juu wa kuyasuka matukio ya visa katika maingira mbalimbali?
Kitakuza na kuboresha msamiati, sarut, ubunifu, umilisi wa mawasiliano katika?
lugha ya Kiswahili na maadili mbalimbali. Visa vya kitabu hiki naibua mjadala ambayo itakua?
stadi ya kusikia kuzungumza kusoma na kuandika huku vikimwacha mwanafunzi na hamu na hamu ya kujifunza zaidi.?
Kitabu hapa itawafaa walimu katika kuwaelekeza wanafunzi kuwa waishi mahiri
Hellen Kangal ni mwalimu mwenye tajriba na mlisi wa kuw a wanafuni katika kujifunza somo kiwwahili?
Amewaandaa wanafunzi katika mtihani wa K.CPE katika shule mbalimball Ananifahamu vyema changamoto?
zinazowakumba wanafunzi katika lugha ya Kiswahili hasa wandishi wa insha kwa hivyo, amekiandika kitabu hili?
kuwasaidia wanafuni kukabiliana na changamoto
?
Reviews
There are no reviews yet.