Sale!

Chura Mcheza Ngoma (Phoenix)

Original price was: KSh 279.13.Current price is: KSh 232.00.

Chura Mcheza Ngoma

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Chura Mcheza Ngoma

Chura na Sungura ni marafiki. Lakini baada ya muda Chura anaanza kuona wivu. Anawatesa watoto wa Sungura. Sungura anakasirika na kumfukuza chura nyumbani mwake. Chura anafanya njama ya kuwaharibu mifungo wa Sungura. Anakuja mchana na kuwaongoza katika ngoma zinazowaacha wamechoka kupindukia. Sungura anafanya uchunguzi na kumpata mkorofi Chura katika mojawapo ya ngoma hizi. Chura anatoroka na kujitumbukiza kwenye maji, ambako anajificha mpaka wa leo.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.