Description
Sudi na Shada ni wanafunzi wa gredi ya kwanza. Wanavumbua mbinu nzuri kabisa ya.kusoma kuhusu familia. Wanafunzi wenzao wanavutiwa sana na mbinu hii. Je, hii ni mbinu gani?
Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.
Reviews
There are no reviews yet.