Sale!

Giza la Muda (Storymoja)

Original price was: KSh 713.65.Current price is: KSh 580.00.

Giza la Muda (Storymoja)

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Nana anahudhuria sherehe ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa rafiki yake wa chanda na pete, Judi. Huko, anakutana na mwigizaji maarufu ambaye ameigiza kama mhusika mkuu katika kipindi cha runinga kinachowalenga vijana. Papo hapo, Nana anapiga urafiki na mvulana huyo maarufu; urafiki ambao unaishia kuwa majuto.

Giza la Muda ni hadithi inayoangazia changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana katika jamii na jinsi ya kukabiliana nazo. Changamoto hizo ni kama vile ushawishi wa marika na mimba za mapema.?

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.