Description
Kafiya ni panya mrembo sana na mwenye maringo mengi. Anawavutia jogoo, chura, mbwa, paka na panya jirani. Wanyama hawa wanangangania kumuoa lakini kwa sababu ya maringo yake Kafiya anawakataa baadhi yao ila tu mmoja. Je, ni nani atakayemuoa Kafiya? Je, ni nani atakayeunganisha ndoa yao? Soma hadithi hii ya Harusi ya Panya unufaike.
Reviews
There are no reviews yet.