Description
Hadithi hii inawahusu Heko, Haki na marafiki 200 Sudi na Bidii.?
Watoto hawa wote licha ya kushiriki kwenye michezo yao kwa pamoja wanawatii wazazi wao na kila mtu?
wanaheshimiana na wanakua kulingana na wakati na umri wOO. Nina imani kuwa kila mmoja atakapoisoma?
hadithi hii ataifurahia. Je, wewe waupenda mchezo upi?
Tom Nyambeka (Mtatago) si mgeni katika uga wa uandishi. Miongoni mwa kazi zake nyingine ni pamoja na Ahaa!?
Roda, kivuli cha Mauko na Bintu na Bintutu.
Reviews
There are no reviews yet.