Description
Masimulizi haya ya kusisimua yameandikwa hasa kwa watoto wa Madarasa ya kwanza katika shule za Afrika Mashariki. ANNE MATINDI ambaye alikusanya hadithi hizi ambazo zilitolewa katika lugha ya Kiingereza mwanzoni ni mojawapo ya mabibi wanaoji-shughulisha na uandishi wenye hadithi za kikwetu, nazo hutolewa na shirika la Phoenix Publishers Ltd. kwa manufaa ya wanashule wa Afrika ya Mashariki. Yamefasiriwana Fred Jim Mdoe katika lugha ya Kiswahili.
Reviews
There are no reviews yet.