Description
Kilele cha Kiswahili ndicho kile kile kilichojulikana kwa jina to Kiswahili Jalili. Kiswahili Jalili sasa kimeboreshwa hadi kufikia kileleni; yaani Kilele cha Kiswahili. Kilele cha Kiswahili ni miongoni mwa vitabu vingine katika msururu wa KCPE Summit Revision. Kitabu hiki:
?
Kimefikisha Kiswahili kwenye kileleta cha lugha na kubadilisha mkondo wa kufunza Kiswahili kulingana na mabadiliko ya mtindo wa utahini wa mtihani wa KCPE miaka michache iliyopita.
?
Kina mazoezi ya majaribio ya KCPE yaliyojumulishwa kwa ajili ya kumwandaa mtahiniwa kufanya mtihani wake.
?
Kinazingatia kwa ukamilifu silabasi iliyoidhinishwa.
Reviews
There are no reviews yet.