Sale!

Kichaa cha Pesa (Longhorn)

Original price was: KSh 270.81.Current price is: KSh 215.00.

Kichaa cha Pesa

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Kila msomaji wa Taifa Leo bila ya shaka anamjua au amepata kumsikia Robert Muthusi. Yeye ni katika waandishi na wahariri mashuhuri wa gazeti hilo. Katika kitabu hiki ?Bob?, kama rafiki zake wengi wanavyo mwita, anatusimulia vituko mbali mbali vya kila aina.Baadhi ya vituko hivi ni vya kuhuzunisha, vingine ni vya kusisimua, na vingine ni vya kuvunja mbavu. Visa vyote hivyo vimekusudiwa kututumbuiza.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.