Sale!

Kimya Kimya Kimya (Longhorn)

Original price was: KSh 539.05.Current price is: KSh 452.00.

Kimya Kimya Kimya

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Mvulano baina ya Kulia na Kushoto umekuwa mzito. Mbele hawaendi, nyuma hawaendi, kulia na kushoto hawaendi. Kushoto anataka kwenda kulia, hawezi. Kulia anataka kwenda kushoto, naye hawezi pia. Kwa kuelekezana migongo na kuvutana pande zote, hawaendi popote. Kushoto analalama, ?Mbona siendi mbele? Najitahidi, najivuta, najisukuma lakini?? Kumbe sababu ya haya yote ni kimya! Hali hii itabadilika pale to watakapokaa kimya, na wakiruhusu kimya kusema. Mpaka pale, mdogo atamfundisha mkubwa kusema pole pole. Mpaka pale ulimi ulioganda kwenye baraza la kinywa utakapoganduka. Hapo ndipo kimya kitasema na kitasema kimya kimya kwa sauti kubwa kama ya Yoo.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.