Description
Kisa cha Nyuki ni hadithi inayohusu Nyuki, Duduvule na Nyigu waliokwenda msituni kutafuta elimu. Mwalimu Asili aliwafundisha jinsi ya kutengeneza nyumba, asali, kujilinda miongoni mwa mambo mengine. Ni hadithi ya kusisimua na yenye burudani kemkem ambayo inapanua ufahamu wa msomaji kuhusu wadudu na mazingira. Je, tofauti kati ya Nyuki na wadudu wenzake ni nini? Soma upate kung?amua.
Reviews
There are no reviews yet.