Description
Hadithi ya kwanza, Kishu Kazi, inamhusu mkulima mwenye bidii, ambaye daima kisu kilikuwa hakimtoki kiunoni, na alipoulizwa, siku zote alijibu: “Kishu kazi, kuna siku kindapata kazi.” Hata ikawa atabandikwa jina `Kishu Kazi’. Lakini siku alipovamiwa na wezi, ndipo waliposhuhudia kikifanya kazi kishu kazi.
Reviews
There are no reviews yet.