Sale!

Kitu Kidogo Tu! (Longhorn)

Original price was: KSh 571.41.Current price is: KSh 470.00.

Kitu Kidogo Tu!

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Musa Nshomile anapoelekea Uingereza kusoma, anaiacha nchi yake ikiwa safi na iliyotakata. Anaporejea baada ya miaka saba anaikuta nchi imemtenga na kila mmoja anaiandama sera mpya, sera ambayo Musa haielewi, sera ya `Mwendo wa Kuruka na Kitu Kidogo.? Barabara hazipitiki, utu umewatoroka watu, nafsi zimeganda na maendeleo yote yamefumbiwa jicho. Mtoaji na mpokeaji wa ?Kitu Kidogo? hawana tofauti ? wote ni shilingi kwa ya pill. Musa anajipata katika tope hili la ugonjwa unaohitaji nchi nzima kuutibu wala si elimu yake kutoka Uingereza. Kitu Kidogo Tu! ni riwaya ya kusoma na aisomaye hatashiba kuisoma. Kitu Kidogo Tu! si kitu kidogo bali ni kitu kikubwa katika fasihi na katika hali halisi ya jamii.?

?

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.