Description
KLB Top Scholar KJSEA Revision Kiswahili Gredi 7,8 na 9
ni kitabu kilichotayarishwa kwa umakini mkubwa ili kuendana kikamilifu na mtaala wa Kiumilisi( CBC) wa shule za Junia, uliofanyiwa marakebisho.
Sifa Kuu za Kitabu hiki ni;
?
Uzingatiaji wa mtaala
?
Maelezo mafupi kwa marudio
?
Mazoezi ya tathmini
?
Tathmini vielelezo
?
Majibu
Reviews
There are no reviews yet.