Description
Kakake Mshindo anapoenda kuishi mjini, wazazi wake wanafurahi sana kwani sasa matatizo yao mengi ya kifedha yatasuluhishwa. Kumbe ni kinaya tu! Janga, kakake Mshindo amefanya kosa na hivyo kuiongezea mzigo familia yake. Watu wanamtenga na wazazi wake wanapatwa na hofu mpaka pale Mshindo anapoamua kuupata ukweli kuhusu kosa la nduguye. Hatimaye, anampa radhi kakake. Pia anawapa radhi wanajamii kwa kumnyanyapaa nduguye, kisha anaanza kupigania mwelekeo na mtazamo mpya wa maisha. Lakini radhi ya Mshindo inapatikana tu baada ya kudadisi ukweli wa mambo! Ni kweli marehemu alifanya kosa au yeye ndiye aliyekosewa?
Reviews
There are no reviews yet.