Description
Hakuna kipendezacho kama kula chakula kitamu. Wakati mwingine mtoto anaweza kula chakula kingi kupindukia kutokana na utamu huo. Maembe huwa matamu sana. Hiyo ndiyo maana yanapendwa na watoto wote. Je, wewe unapenda maembe? Soma hadithi hii リMaembe Matamu kisha ununue embe tamu ule kabla yavsiku kuisha.
Reviews
There are no reviews yet.