Description
Konelia anajivunia mtoto wake Kalaa na kumtakia ufanisi maishani. Lakini karibuni msiba unamkumba. Bibiye Maua, mamake Kalaa, anaaga dunia. Katika jitihada za kumwondolea Kalaa usumbufu anaoa tena. Uhusiano wa Kalaa na mamake wa kambo, Kitete, utakuwaje?
Reviews
There are no reviews yet.