Sale!

Miale ya Uzalendo (Phoenix)

Original price was: KSh 570.24.Current price is: KSh 482.00.

Miale ya Uzalendo

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Miale ya uzalendo ni diwani yake Profesa Kitula King?ei. Diwani yenyewe ni mkusanyiko wa mashairi yanayolenga nyanja?

mbali za maisha kama vile uzalendo, utu, bidii na kadhalika. Aidha mshairi amewabebea bongo baadhi ya wasanii waliochangia?

kwa kiasi fulani katika kukikuza Kiswahili, huku akiwahimiza ndugu wapenzi wa Kiswahili waendelee kukikuza ili kifane duniani.

Msahiri amebobea vilivyo katika utunzi wake kwa vile ametumia mifano aina aina akizingatia arudhi na sheria za utungaji.

Waalimu, wanafunzi na wasomi kwa jumla watafaidika sana na diwani hii. Ni matumaini yetu kuwa huu sio mwisho wa utunzi wake bali ni kivutio cha yatakayofuata

?

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.