Sale!

Mkasa wa Shujaa Liyongo (Phoenix)

Original price was: KSh 377.13.Current price is: KSh 302.00.

Mkasa wa Shujaa Liyongo

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

MKASA wa SHUJAA LIYONGO ni hadithi inayomulika kinyang?anyiro cha uongozi kati ya ndugu wawili: Liyongo na Daudi Mringwari. Baba yao Fumo anapofariki kutokana na ugonjwa, wanaanza kung?ang?ania uongozi wa Jimbo la Shanga. Mvutano huu unaishia katika kifo cha Liyongo mikononi mwa mtoto wake Moni. Liyongo Fumo aliishi karne nyingi zilizopita katika pwani ya Kenya na alikuwa mshairi maarufu. Mvutano unaosimuliwa katika hadithi hii ulitokea, ingawa pengine kwa njia tofauti kidogo. Katika kuuhadithia, mwandishi ameupa mwamko mpya wa kisanaa. Mwandishi wa hadithi hii, Bitugi Matundura, alifuzu somo la Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Moi mwaka 1999. Ameandika hadithi nyingi za watoto, hasa katika gazeti la Taifa Leo.? ?

?

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.