Sale!

Mlima Kenya Kajifungua (Phoenix)

Original price was: KSh 243.70.Current price is: KSh 210.00.

Mlima Kenya Kajifungua

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Habari ziliponea kuwa Bi. Mlima Kenya anakaribia kujifungua, mbiu ilipigwa, na wanakijiji pamoja na wanyamapori wote wakakusanyika kushuhudia tokeo hilo mahsusi. Muda si muda wakati ukawadia; akajifungua. ?Je, ni mwana gani huyo aliyezaliwa? Jisomeeni wenyewe hii hadithi ili mpate kutambua. Na zaidi ya hiyo, kunazo vilevile, hadithi nyingine sita: Karamu Ya Kujialika; Fisi tumboni mwa Tembo, Bidii ni Mali; Mama Mja Mzito na Jitu; Nani Mlaji Zaidi na Urafiki wa Unafiki.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.