Sale!

Mtu wa Mvua (Phoenix)

Original price was: KSh 325.05.Current price is: KSh 267.00.

Mtu wa Mvua

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Dora yumo nyumbani ambamo amelazimika kubaki ili kuwachunga ng?ombe wao kutokana na ukosefu wa mfanyakazi mzuri. Halafu siku moja anamuona mtu anayetembea kwenye mvua bila kuguswa na tone la mvua. Anamshawishi mamaye wamwalike mtu huyu nyumbani. Mgeni anakubali kuandikwa kazi na Dora anarudi shuleni. Mtu huyu, Okungu, anaishia kuwa na vipawa vya ajabu ambavyo vinaisaidia jamii ya akina Dora kwa njia kubwa. Hii ni mojawapo ya hadithi tatu za kusisua zilizomo katika kitabu hiki. juu ya kusisimua, zina mafunzo kemkem kwa wasomaji.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.