Description
Juma na Maria ni mapacha, lakini tabia zao ni tofauti kabisa. Ambapo Maria ana juhudi na huzingatia anayotakiwa kufanya, Juma ni mzembe na mwepesi wa kusahau. Tabia hizi zinamwelekeza kuaibika ljumaa moja wakati wa paredi ya asubuhi shuleni. Maria, kwa upande kabe, anatuzwa kwa kuwa mwanafunzisafi zaidi.
Reviews
There are no reviews yet.