Description
Mwongozo wa Nguu za Jadi ni tahakiki iliyoandikwa kwa kuzingatia mahitaji ya wasomaji, wanafunzi, walimu na watafiti wa fasihi. Mwongozo huu umetoa maelezo ya kina kuhusu ploti na msuko, dhamira na falsafa ya mwandishi, maudhui, mandhari, wahusika; sifa na umuhimu wao, mbinu na mtindo wa lugha pamoja na maswali ya marudio ambayo ni kigezo muhimu cha kutathmini uelewa wa msomaji wa riwaya ya Nguu za Jadi.
Bila shaka, mwongozo huu ni tahakiki ambayo itamfaa mwanafunzi siku zote katika kumwelekeza kuhusu uchambuzi wa riwaya ya Nguu za Jadi na hata riwaya nyingine yoyote ile.
Reviews
There are no reviews yet.