Description
Kila mtu hutaka kuwa mshindi katika jambo alitendalo. Inapotokea kuwa ni mshinde husononeka si haba. Lakini swali ni kuwa tunafaa kushinda katika kilo jumbo au kukubali tunaposhindwa katika mambo mengine? Hadithi hii inahusu mhusika, Mshindi Mmoja, anayetarajiwa kushinda katika kila jumbo. Je, katika safari yake ya kushinda atashinda nini? Soma ufaidi uzuri wa ushindi.
Reviews
There are no reviews yet.