Sale!

Phoenix Hatua za Kiswahili Rasmi GD3

Original price was: KSh 741.59.Current price is: KSh 638.00.

Phoenix Hatua za Kiswahili Rasmi Grade3

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Hatua za Kiswahili Rasmi, Kitabu cha mwanafunzi ni mfululizo wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa ufundi kwa kufuata mtalaa mpya unaosisitiza umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunz: kukuza weledi wake katika stadi za kusikiliza na kuzungumza, sarufi na matumizi ya lughakusoma na kuandika. Vitabu hivi vina sifa zifuatazo:

?

? Mada kuu zilizopangwa kwa kuzingatia ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 3 ili kurahisisha utumiaji.

? Vipindi vilivyopangwa kushughulikia mada ndogo mbalimbali kulingana na ruwaza ya mtalaa.

? Picha na michoro iliyochorwa kwa rangi za kupendeza ili kuvutia usomaji na ujifunzaji.

-? Maswali dodoso yanayochochea uwezo wa mwanafunzi kufikiria na kudadisi masuala mbalimbali.

? Kazi za ziada na majaribio yanayomhusisha mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawiliwawili na wanafunzi kwenye makundi katika shughuli ainaaina.

-? Mradi wa nyumbani unaowahusisha wazazi na walezi katika ujifunzaji wa Kiswahili na pia kukuza uwajibikaji.

-? Hadithina utajiri wa shughuli nyingine zinazokuza umilisi wa kimsingi wa lugha ya Kiswahili na zilizooanishwa na masuala mtambuko, maadili chanya miongoni mwa masuala mengine.

? Matumizi ya teknolojia kwa mfano kusikiliza sauti redioni na unasaji sauti kwa kutumia simu na vifaa vingine vya kiteknolojia.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.