Phoenix Hatua za Kiswahili Rasmi GD4

KSh 638.00

Phoenix Hatua za Kiswahili Rasmi Grade4

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Hatua za Kiswahili Rasmi, Kitabu cha mwanafunzi ni mfululizo wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa ufundi kwa kufuataÂ

mtalaa mpya unaosisitiza umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kukuza weledi wake katika stadi za kusikiliza naÂ

kuzungumza, sarufi na matumizi ya lugha, kusoma na kuandika. Vitabu hivi vina sifa zifuatazo: • Mada kuu zilizopangwa kwaÂ

kuzingatia ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 4 ili

kurahisisha utumiaji. Vipindi vilivyopangwa kushughulikia mada ndogo mbalimbali kulingana na ruwaza ya mtalaa.

Picha na michoro iliyochorwa kwa rangi za kupendeza ili kuvutia usomaji na ujifunzaji. • Maswali dodoso yanayochocheaÂ

uwezo wa mwanafunzi kufikiria na kudadisi masuala

mbalimbali. Kazi za ziada na majaribio yanayomhusisha mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawiliwawili na wanafunzi kwenyeÂ

makundi katika shughuli ainÄ…aina. Mradi wa nyumbani unaowahusisha wazazi na walezi katika ujifunzaji wa Kiswahili na pia

kukuza uwajibikaji. · Hadithi na utajiri wa shughuli nyingine zinazokuza umilisi wa kimsingi wa lugha ya Kiswahili

na zilizooanishwa na masuala mtambuko, maadili chanya miongoni mwa masuala mengine.

Matumizi ya teknolojia kwa mfano kusikiliza sauti redioni na unasaji sauti kwa kutumia • simu na vifaa vingine vyaÂ

kiteknolojia. Mathias Momanyi ni mtafiti, mwandishi, mwalimu na mwanahabari mashuhuri. Ameandika vitabu vingi vikiwemoÂ

msururu wa Kilele cha Insha vilivyosifiwa kwa ukwasi wake wa fani na tamathali za lugha komavu. Yahya Mutuku ni mwandishiÂ

na vilevile mwalimu mwenye uzoefu na utaalamu mkubwa. Ameshiriki kikamilifu katika harakati, na mikakati ya ukuzaji waÂ

Kiswahili kupitia vipindi vya Kiswahili. Ameshirikiana na Mathias Momanyi kuandika msururu wa Kilele cha’ InshaÂ

vilivyosifiwa kwa ukwasi wake wa fani na tamathali za lugha komavu. Pia ameandika hadithi nyingi pamoja na Kamusi ya Picha.

Â

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.