Description
Je, umewahi kumwona mtu akimpiga busu mbwa, paka na wanyama wengine? Je, punda naye akitaka kumpiga busu tajiri wake, tajiri atastahimili vipi nguvu na uvundo kutoka kinywa cha punda? Hali hiyo inatufanya tukumbuke msemo wa Waswahili kuwa ??kula kulingana na urefu wa kamba yako.Yarabi! Punda kumbusu mtu! Karibu kwa uhondo wa punda kumbusu tajiri wake.
Reviews
There are no reviews yet.