Description
Kitabu hiki cha picha kinawajulisha wanafunzi kuhusu mazingira yao ya karibu. Picha zimepangwa kwa utaratibu ili?
kuhakikisha wanafunzi wanaelewa vyema vitu vilivyo katika mazingira. Kitabu hiki kinaweza kutumika shuleni na pia nyumbani.?
Pia kinapatina katika lugha ya kiingereza.
Reviews
There are no reviews yet.