Sale!

Safari ya Kombamwiko (Phoenix)

Original price was: KSh 351.38.Current price is: KSh 279.00.

Safari ya Kombamwiko

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Kombamwiko alikuwa akiishi kwa raha mustarehe na wazazi wake kijijini. Ngoja basi siku moja akutane na Faragano, mende mmoja mjuaji, ambaye alimsifia Kombamwiko kuhusu maisha matamu ya Mjini, kulingana na yale ya `kijinga? ya kijiji kwao. Hadi Kombamwiko akaamua kwenda huko Mjini akajionee mwenyewe uhondo, dhidi ya pingamizi za wazazi wake. Safari ikaanza. Kumbe, lahaula! Mambo sivyo kama alivyotarajia! Walikumbwa na visa na mikasa; wakateseka vilivyo na mwishowe wakaamua heri warejee nyumbani; Kwani mwenda tezi na omo, marejeo ni ngamani. Hadithi hii ya kuvutia inasimulia visa vya safari hiyo ya Kombamwiko na wenzake.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.