Description
Kemunto ana vipawa ajabu katika utunzi na uimbaji wa mashairi. Anaelekea kutambulika katika wilaya na mkoa?hadi anapokutana naye Makena, kijana wa kitajiri aliyendekezwa na wazazi wake. Kushiriki kwake mambo ya kimapenzi katika umri wake kutamwelekeza wapi Kemunto?
Reviews
There are no reviews yet.