Description
Kemunto ana vipawa ajabu katika utunzi na uimbaji wa mashairi. Anaelekea kutambulika katika wilaya na mkoa¦hadi anapokutana naye Makena, kijana wa kitajiri aliyendekezwa na wazazi wake. Kushiriki kwake mambo ya kimapenzi katika umri wake kutamwelekeza wapi Kemunto?
Reviews
There are no reviews yet.