Description
Wanapomtorosha mgandamizi wao Bwana Mtiki kutoka Shamba Ibura, wanalobadilisha kuwaSHAMBA LA WANYAMA, wanyama wanatarajia watayazika maovu ya binadamu katika kaburi la sahau na kuishi kwa undugu na usawa. Kwao, ?Miguu minne ni mizuri, miguu miwili ni mibaya?. Inatokeaje usemi huu kubadilika kuwa, ?Miguu minne ni mizuri, lakini miguu miwili ni mizuri zaidi??
Reviews
There are no reviews yet.