Description
Kitabu hiki kimeandikwa hususan kwa watoto ili kuawasaidia kwa matamshi na mtiririko wa maneno. Kinafunza siku za juma na miezi ya mwaka kupitia mashairi na uwiano wa maneno.
Zaidi ya hayo, kinalenga ubwiji wa lugha na matamshi kupitia mbinu ya marudio.
Reviews
There are no reviews yet.