Siku ya Wajinga (Phoenix)

KSh 279.00

Siku ya Wajinga

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Zito anausifu ujinga. Darasani imekuwa ni kushikilia mkia kila kunapofanywa mtihani. “Sikiza,” anamwambia rafiki yake Sadiki. “Ukiwa daktari, utanihudumia nikiwa mgonjwa. Ukiwa mwalimu, utafundisha wanangu, na ukiwa wakili, utanisimamia katika kesi zangu… Katika kazi yoyote ile utakayoajiriwa kufanya, utakuwa ukitutumikia sisi wajinga…” Lakini siku ya kupata funzo kuwa ujinga haulipi imo njiani….ᅠᅠ

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.