Description
Binti mfalme anatamani kuolewa na mume mwenye busara, werevu na ushujaa. Mtihani anaotakiwa kupita ni kunywa chungu cha maji yanayochemka. Vijana wengi wanajaribu lakini wanashindwa. Mpaka Sungura anapojitokeza na kujua jinsi ya kufanya hivyo?
Reviews
There are no reviews yet.