Ujeuri wa Mbwa (Phoenix)

KSh 232.00

Ujeuri wa Mbwa

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Paka na mbwa wana shida nyingi. Hawawezi kunusa chema na kibaya. Hawawezi kuwinda vilivyo. Hawawezi pia kukwea miti kuwatoroka maadui wao. Kinyesi wanatupa popote bila kujali. Ni lazima wafundishwe jinsi ya kuishi vyema. Chifu wa eneo lao amepanga semina kadhaa kujaribu kuwasaidia. Lakini mbwa, baada ya semina ya kwanza, anajifanya mjeuri…

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.