Description
Upotovu ni tamthilia inayolenga katika kukosoa hali zetu. Tamthilia hii inatuchokoza tuyaafiki mambo mawili: La kwanza niÂ
kwamba tukubali ya kuwa tumeteleza kisiasa na kiuchumi. Hali ambayo imetuzorotesha kimaadili. Jambo la pili ni kuwaÂ
tukubali kujirekebisha. Tamthilia hii inayo matumaini makubwa ya kwamba mwisho kabisa tutaungana na kuwa jamii moja yenyeÂ
upendo na itakayoenzi yale yaliyo mema pekee
Reviews
There are no reviews yet.